Nzuri usingizi

0:00
0:00

  • Nawe utakuwa salama, kwa sababu kuna matumaini; Naam, utatafuta-tafuta kando yako, na kupumzika katika salama. Tena utalala, wala hapana atakayekutia hofu; Naam, wengi watakutafuta uso wako. [Ayubu 11:18,19]
  • Nalijilaza nikalala usingizi, nikaamka, Kwa kuwa Bwana ananitegemeza. [Zaburi 3:5]
  • Katika amani nitajilaza na kupata usingizi mara, Maana Wewe, Bwana, peke yako, Ndiwe unijaliaye kukaa salama. [Zaburi 4:8]
  • Hutaogopa hofu ya usiku, Wala mshale urukao mchana, [Zaburi 91:5]
  • Ulalapo hutaona hofu; Naam, utalala na usingizi wako utakuwa mtamu. [Mithali 3:24]